Uteuzi na Utenguzi: Dkt. Kihamia ateuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa DART, Kuji awa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA

Shida ni TISS, ni ujinga ku-recycle watu wale wale kwa nafasi ambazo zinademand utaalam wa mambo ya logistics, maamuzi ya aina hii ni dharau kwa wananchi, Kihamia ni mstaafu kwa hiyo kustaafu ni kwa walimu na fani zingine tu TISS wao hawastaafu..
 
KIZIMKAZI hapo ndio anapenda mnoo kuteua na kutengua Yuko tayri kuifanyia mwaka mzima. Sukari imepanda anajifanya hajui llte kilo 4000. Na inaenda juu zaidi hapo ni January
 
Kihamia anaweza kweli hata kusimamia biashara ya daladala moja??
Sidhani kama anajua lolote kuhusiana na biashara ya usafiri au logistics.
Inavyoonekana kwa sasa kuteuliwa ni kupewa fursa kujikimu na si kutumikia watu na kuleta tija..miaka zaidi ya sitini ya uhuru serikali ina watu kwenye vetting system wanawaza kuendesha nchi kama kusimamia genge la kuuza nyanya..hakuna future hapo!
 
Achomoe..huo ndio ujinga umedumaza mashirika ya umma! tangaza nafasi watu waombe hiyo kazi!
 
Kweli usiku wa manane kuna mambo mengi.


View: https://m.youtube.com/watch?v=GsXmB6Q0M84Musa N.K Juma kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA)


View attachment 2867935
View attachment 2867937
Hivi Shirika la TANAPA liliundwa kuongozwa na Wazee!!!
Kweli usiku wa manane kuna mambo mengi.


View: https://m.youtube.com/watch?v=GsXmB6Q0M84Musa N.K Juma kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA)


View attachment 2867935
View attachment 2867937
 
Tengua teua kama huyo Dr kihamia sio mtaalam wa mambo ya usafiri na uchukuzi haitasaidia. Labda kama ni mchumi ataweza kuelewa haraka jinsi ya kuendesha usafiri wa mjini. Dart inahitaji mtendaji mwenye taaluma ya usafiri sio kuchagua tu kishikaji. Pia bodi na mwenyekiti lazima wawe wajuzi na wabobezi wa usafiri na biashara. Pia huko wizarani wawepo watu vichwa sio wajinga wa mambo wasiyoweza kuelewa au kujali tumbo zao tu.
 
Ni mwendo wa kuwapa ulaji watu wa TISS hata wakivurunda.

Mhede=Kihamia=TISS

Kama Taifa tuna safari ndefu sana
 
Inakuwaje rais anateua mtendaji mkuu wa DART, kampuni ambayo ina operate ndani ya jiji ambayo kimsingi inatakiwa kuwa chini ya mandate ya Mayor wa jiji!?

Kwa kweli ukiangalia kwa jicho la tatu hizi teuzi zimekaa kisiasa zaidi na kupeana ulaji tu na siyo kulenga utendaji.
 
Ma PhD holder wa Tanzania ni watu wa hovyo kabisa sijui wamesomea ujinga? Unalikuta jitu na m-PhD wake pale lakini utendaji wa hovyo kabisa!
Kila mtu hapa aweza kuwa PhD,ila diliverance hazitaacha kuwaumbua.
 
Mi najua ni mbinu za kivita za kuelekea Uchagizi, tangu watu waanze kulalamika ni kitambo mbona walikaa kimya.... Wanafanya saivi ivyo ili tujue eti wanatujali wakati hamna......Afya zetu zipo hatarini kutokana na uo usafiri.... Wamekaa kimya muda wote.
 
Anastahili kutolewa hata kwenye hiyo Taasisi aliyobakia kama mwenyekiti, Uchafu wake ni Mkubwa kwa Ushirika na baadhi ya Viongozi hiyo. Chunguzeni Fedha Zitokazo siku za karibuni na mengine.
 
Watu wale wale matokeo yale yale, tumerogwa nani sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…