UTEUZI: Rais ateua Wenyeviti wa Bodi LATRA, Airtel na Tume ya Haki za Binadamu

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Prof. Ahmed M. Ame ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA).

Amemteua Eliud Betri Sanga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Airtel Tanzania akichuku nafasi ya Gabriel Malata aliyeteuliwa kuwa Jaji.

Jaji Mstaafu Mathew P.M. Mwaimu kuwa Mwenyekiti na Mohamed. K. Hamad kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa kipindi cha pili.

Pia, Rais Samia amewateua Thomas P. Masanja, Amina T. Ali, Khatibu M. Khatibu na Nyanda J. Shughuli kuwa Makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.


 
Rais ana Mamlaka makubwa Nchini kuliko Papa katika Ukatoliki Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…