mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kongamano limejibu
Sawa sawa..
Degree moja wala masters haina nafasi
Hongera kwao
Ni jambo jema!
Mimi sio muumini wa dini yoyote, hilo swali halinihusuMbona wote wakristo?
Kwani wakristo siyo watanzania?!!Mbona wote wakristo?
Din zingine sio watanzaniaKwani wakristo siyo watanzania?!!
Muwe na kumbukumbu lakini maana juzi mlianza kulilia mambo ya Dini!!Kwani wakristo siyo watanzania?!!
Wewe ni mdini!Muwe na kumbukumbu lakini maana juzi mlianza kulilia mambo ya Dini!!
Note me sio muumini wa makabila wala Dini!
Swallow the biteWale wanaosema Rais anateua kwa minajiri ya Dini hapa wala hawataonekana.
Cc USSR njoo huku useme Rais kateua kutokana na Dini ya Mtu.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Unampendekeza nani ateuliwe???Bado Mkurugenzi wa Bodi ya Manunuzi..
Kwamba hayupo,au yupo ila tuu fitna zinataka atolewe?Bado Mkurugenzi wa Bodi ya Manunuzi..