M MRIMI MWESO Member Joined May 5, 2012 Posts 5 Reaction score 1 May 5, 2012 #1 Ni sheria au ibara gani ya Katiba iliyotumiwa na MH. RAIS kuteua wabunge wa kuteuliwa kuwa Mawaziri/Manaibuwaziri kabla ya kuapishwa Bungeni? Naomba kusaidiwa!
Ni sheria au ibara gani ya Katiba iliyotumiwa na MH. RAIS kuteua wabunge wa kuteuliwa kuwa Mawaziri/Manaibuwaziri kabla ya kuapishwa Bungeni? Naomba kusaidiwa!