Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Pascal Mayalla commited a cardinal sin.Mayalla kaamua kususa kujikomba maana ni takribani miaka 5 anajikomba tu wakati wateuzi wakiendelea kuwapa ulaji MATAGA wengine yeye wana mfanyia mchezo wa wahaya yaani wa MUPE MURUKE.
Ndo Nini umeandikaKweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi (CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandoko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.
Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?
Siyo matiko anaitwa matakoMatiko yupo CCM na Mimi kamwe siwezi hata kugusa migwanda yenu ya laaana
Mkuu, naona upo vizuri kwenye KIMOMBO kuliko Kiswahili! Sijaelewa hapo "KAHULA" una maanisha nini!?Lakini Jerry Muro from nowhere na cha kushtusha zaidi katokea jamii inayoogopwa na kutengwa lakini kahula.
There must be something.
[emoji23][emoji23][emoji23]atakuwa kama mrema miaka ile ilibaki kidogo aingie ikulu muda mwingine akifikiria huwa analia sana [emoji23][emoji23]Nyie hamjui jinsi inavyoumiza. Babu Tale anakuwa Mbunge halafu pascal anakosa Ubunge? Inauma sana. Kila nikifikiria huwaga nina lia. Inaniuma sana.
Msaada:Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi
Huna jipya zaidi ya kujipendekeza kwenye mifumo ya kishetaniMayala hajipendekezi kwa mtu yeyote. Mawazo na hoja zake zinawakera kwa sababu zina nguvu na mnashindwa kuzipangua. Nafikiri na ninyi mnajipendekeza upinzani kuonyesha nyie ndiyo watetezi mahiri wa upinzani. Mimi nilikuwa naamini kuwa hayo ni mawazo yenu, lakini mnapoanza kuwa personal, naona Mayala kawashinda kwa hoja, sasa mnakimbilia matusi. Na hapo pia mtashindwa kwa sababu he is not going to stoop that low as you have done.
We wee ngoja kibuyu kimwagiwe mafuta ya upako kama hajamwona kijiweni,kibuyu cha kijani noumaaKweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi (CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandiko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.
Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?
Alijua yajayoKweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi (CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandiko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.
Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?
Eti ni kweli? Pascal MayallaAlijua yajayo
Mayalla kwa kisukuma ni njaa, so anatafuta mkate akate njaaKweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi (CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandiko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.
Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?
Mkuu MKEHA , ni kweli wakati wa uteuzi nilikuwa likizo, ila wakati wa utumbuzi nilitoa uchambuzi, BBC, DW na VOA Ubunge wa Bashiru Ali, wachambuzi wanasemaje? | DW | 01.04.2021Kweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi (CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandiko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.
Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?