Uteuzi wa Job Masima kuwa Balozi Israel ni ishara ya Rais Magufuli kuinoa na kuiimarisha TISS


Lakini, hakuna ambae mpaka dakika hii twaandika haya, ambae amesema Israel ni nchi "so special".

Naomba tutajie hasara ambayo Tanzania itapata kwa kufungua ofisi ya ubalozi mjini Tel Aviv.

Be honest, funguka.
 
Lakini, hakuna ambae mpaka dakika hii twaandika haya, ambae amesema Israel ni nchi "so special".

Naomba tutajie hasara ambayo Tanzania itapata kwa kufungua ofisi ya ubalozi mjini Tel Aviv.

Be honest, funguka.
Tanzania kwa miaka mingi tumenufaika kuwa neutral country hii ilikuwa sera ya Nyerere kuna wakati tunakuwepo kwa wamarekani kunawakati tupo kwa wachina na warusi,na katika migogoro ya middle east kwa miaka mingi Tanzania ilikuwepo upande wa mataifa ya kiaarabu kupinga uonevu wa israeli kwa mataifa mengine pale mashariki ya kati kwa dhana hiyo hatujawahi pata mashambulizi ya kigaidi mengi yakutishia (ukiacha kupigwa bomu ubalozi wa marekani) kiasi cha kutishia amani na usalama wa nchi yetu kama wenzetu Kenya wanavyopata karibia kila mwaka sababu ya msimamo wao kwa waisraeli na marekani! vyombo vyetu vya usalama vina loopholes nyingi sana kiasikwamba tukiingia kwenye radar za vikundi vya kiislam vyenye msimamo mkali kama Al Qaeda,wapiganaji wa kisomali na ISIS kutokana na uhusiano na ushirikiano wetu na Israel tutapata taabu sana na usalama wetu utakuwa shakani ndiomaana nikasema "hasara ni kubwa kuliko faida"
 
samahani mkuu... una kitamburisho cha kupigia kura...[emoji45] [emoji45] ..cha nchi hii...???
 
Na macomando hao wakishajua hayo mambo ma3 inabaki motisha moja tu wawapo vtani ATTACK
 
TISS itaimarika kwa kuwa chombo huru...na siyo kuwa chini ya ofisi ya rais...kwa kuondoka kwenye majukumu ya ushauri tu, kwenda kwenye majukumu ya kutekeleza...
FRANKLYN.....
 
cha ajabu israel hawatumii bibble wana kitabu chao cha muongozo wa ibada..."sijawahi kuelewa maana yao.."
 
Nafikiri tuna uelewa mdogo kuhusiana na hicho kitengo ila wanaposema ulinzi c tu kuhusu usalama wa nchi hapana. Hicho ktengo ndo knatakiwa kilinde na kuimarisha uchumi wa nchi husika ukjaribu tazama nchi KARIBU zote zilizoendelea zna intelligence makini. Hichi ni ktengo mhimu sana kuhusu kuwatambua wawekezaj wazur na wabaya ndo ktengo knachotakiwa kuhakksha hatuibiwi dhahabu kwa kusema ni mchanga,ni ktengo ambacho knatakiwa kufanya industrial espionage nk ndicho knatakiwa kihakkshe airtanzania inastawi.
Ktengo hiki ndo knatakiwa ki analyse kulingana na geografia ya nchi yetu tufanye uwekezaji upi kutoka Israel nk nk
Kwa ufupi ktk soma soma zangu humu jukwaan na nje ya jukwaa uimara wa kitengo hiki ni ustawi wa uchumi, ulinz na usalama wa nchi husika.
 
Naona kama imani yako ni mlengo wa kigaidi.acha kudharau imani za watu we mzee wa kitabu
naona uvumilivu wa matumizi ya busara ktk kumuelewesha msiefanana kifikra unamalizika mkuu..!!..come down..zingatia .."akili ni nywele kila mtu ana zake.."....
 
Hakika. Waongezewe budget tu.
 
Huyo Netanyahu kawaita nyie washenz hawapuuz watu weusi sio bora bal wazungu na wayahud ndio bora akamshangaa kwann mungu kawaumba bado mnamnyenyekea subirin niwe rais...nafunga baloz ya Tz israel siwez kuwa na mahusiano na watu hao
 
hiyo sytle ya maofisa usalama na security guards ipo hivyo karibia viwanja vyote.....labda tuambiane namna yao ya ulinzi iliyo tofauti na nchi nyingine...
 
yes we ni great thinker hizi ndo Nyuzi za kusoma siyo mambo ya Bashite Hongera sana
 
Upo sahihi ila kuna kitu hukijui
Ila pia anza kufanya research hasa za hizo security services uone. Mossad ni imara zaid ukzngatia jiografia ya israel na usalama wa nchi hyo ya watu 8M we ona babu zako wanavolialia.

Kteknolojia ntasema mambo mawili maji na bundi. Israel ndo inawauzia maji palestina[emoji1] wanachukua maji ya chumvi wanaondoa chimvi just in 30min maji yanakua safi na salama kutumiwa na kuuzwa Palestina huko. Israel ndo nchi nahc namba moja isiyopoteza maji kuanzia yale ya bafuni hayapotei yanavunwa na kwenda kwenye shughuli za kilimo

Namba mbili. Bundi.
Israel ndo nchi inayo export bundi wengi dunian kwa shughuli za kilimo,ndege huyo ambaye kwenu mnamuhusisha na uchawi huko kwa wayahud anatumika vema ktk organic farming na kizur zaid ndege hao walikua wakiruka kwenda Jordan wanaibiwa wakapigwa coordinates hawaruk nje ya mipaka ya taifa lao. Hii kitu c mchezo na c suala la kwenda porin ukamkamata bundi ni suala la kimaabara.

Cha tatu ambacho mtoa mada amekgusia ni kuhusu drones ambazo ww umeanza kuzjua miaka miwil mitatu iliyopta bt Israel imetumia drones since miaka ya 1980's huko.
Nichomekee na hiki, babu zako wapalestina walizoea kuchimba mahandak na kuibukia israel na kulipua bt sayert matkal wana nyoka ambaye anatumwa huko mipakan kulinda na anaingia had kwenye mahandaki na kuwadhibiti hao vbaka.
Mengine ataeleza Richard na Yeriko
 

Haya, mkuu
 
Hivi sababu za nchi za umoja wa Africa kujitenga na Israel zimepatiwa ufumbuzi/zimekwisha ama wamegundua yanayofanywa na Israel ni halali? Tafadhali tupeni elimu kidogo.
 
kwa jinsi Israel ilivyo nchi nyeti ingefaa balozi wetu asihudumie nchi zingine tena.
 

Umeandika kishabiki sana kimsingi vyoote ulivyowasifia hata mataifa mengine wanafanya[emoji1][emoji23][emoji23] na wamekuwa wanafanya kabla ya hao israel na vingine umeongezea chumvi kidogo hasa swala la nyoka
 
TISS kufanywa kuwa washauri tu ndio imetuangamiza ....TISS warudishiwe uwezo wa kutekeleza ...
Mbona mamlaka ya kutekeleza wanayo!!!!au hujui wanayo kwa namna ipi???

Wanayo kwa kuwepo kwenye kila ngazi ya maamuzi, unapozungumzia TISS sahau kuhusu walinzi, makirikiri, na wavaa suti pale knyama,ila kila aliyeaminiwa akapewa dhamana.

Anaweza kuwa judge, rc, daktari, mbunge, au hata msanii.

Swali ni je anatekeleza nini?, kina tija au manufaa binafsi/au ya taifa kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…