Uteuzi wa Jokate Mwegelo ni uteuzi wa viwango

Uteuzi wa Jokate Mwegelo ni uteuzi wa viwango

Joined
Nov 6, 2016
Posts
77
Reaction score
271
SALAMU ZA PONGEZI KWA JOKATE MWEGELO ( KATIBU UVCCM - TAIFA )

Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA

Uteuzi wa Jokate kuwa Katibu wa UVCCM ulinisisimua kiasi cha kushindwa kulema lolote kwa kipindi tangu alipoteuliwa.

Jokate ni kiongozi mwenye mvuto mkubwa kwa wananchi wa kawaida, kutokana n kariba yake ya upole, na akiwa kiongozi aliuetokea kwenye tasnia yetu ya sanaa mwenye mafanikio yanayoelezeka kisiasa, sisi wasanii tunajivunia sana Jocate.

Jokate ni kiongozi anayeishi katika wakati uliopo na mbele zaidi, kifupi ni kwamba anazielewa lugha zetu watoto wa kitaa, vijana wa kileo, hakuna la kumdanganya, naweza kusema Dr Samia amekuwa akifanya teuzi za kisomi na kitaalamu, ila hii ya Joket aliupiga kwingi sana.

Vijana wa sasa wanamuhitaji mtu mwenye kariba kama za Jokate kuweza kuelewana, na kwa sababu Joket ni mjuzi wa biashara za sasa ambazo zimeundwa zaidi na vimelea vya utandawazi, itawapa tafsiri nyepesi vijana pale anapowapa ushauri wa nini wafanye na nini wasifanye.

UVCCM INAENDA KUPATA KWELEKEO UNAOENDANA NA HALI YA SASA.

NAWATAKIA EID NJEMA.
NIKIAMBATANISHA NA OFFA MBALIMBALI KUTOKA CAM STORE NA Comrade Ally Maftah.



Ndimi
Comrade Ally Maftah
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM - Mkoa wa Dar es Salaam

*Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi - Mkoa wa Dar es Salaam
 
Huoni unajichonganisha na walioteuliwa kabla ya huyo jokate.

Siku wakipata vyeo vikubwa kushinda hicho Cha jokate utaweka wapi sura yako?
Usutukuze mtu kupita kiasi hujui kesho yako
Chawa hawana aibu,wao wanajali kuokota makombo tu wanayotupiwa
 
Uongozi siyo sura ama vidoti usoni .

Kama unampenda mtu kutokana na sura yake basi nenda kanywe naye chai - JK NYERERE

Viwango vya Jokate uliwahi kuviona wapi , lini ?
wewe viwango vya mbowe unavizungumziaje
 
Back
Top Bottom