FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Yale malalamiko kwamba bidhaa toka Zanzibar zinapigwa kodi zikiletwa bara nadhani sasa ndio itakuwa mwisho. Wafanyabiashara watakwepa kulipa ushuru bara, badala yake wataenda kushushia Zanzibar kwenye kodi nafuu, kisha watavusha kuja bara bila kulipa tena kodi?
Kwahiyo bidhaa zinazoingizwa bara kwa sasa kodi itakuwa inakusanywa na ZRA na kutumika huko huko?
Pia soma Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara
Kwahiyo bidhaa zinazoingizwa bara kwa sasa kodi itakuwa inakusanywa na ZRA na kutumika huko huko?
Pia soma Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara