Mkuu 'Ngongo', vipi mbona leo hueleweki namna hii?Heshima sana,
Tangu Kingai ateuliwe kuwa DCI nimejikuta nikikosa imani na jeshi la police ๐ฎโโ๏ธ.
Matendo ya Kingai akiwa RCO na baadae kesi ya Mbowe yanatosha kabisa tena bila shaka yoyote kuonyesha muelekeo ya Jeshi la police.
Naomba kusema inatosha sasa Katiba mpya ni muhimu kuliko jambo lolote.
Kingai anastahili sifa.Heshima sana,
Tangu Kingai ateuliwe kuwa DCI nimejikuta nikikosa imani na jeshi la police [emoji1986].
Matendo ya Kingai akiwa RCO na baadae kesi ya Mbowe yanatosha kabisa tena bila shaka yoyote kuonyesha muelekeo ya Jeshi la police.
Naomba kusema inatosha sasa Katiba mpya ni muhimu kuliko jambo lolote.
DuniaHeshima sana,

Na Rais mwanamke basi hatutaki tena.Heshima sana,
Tangu Kingai ateuliwe kuwa DCI nimejikuta nikikosa imani na jeshi la police ๐ฎโโ๏ธ.
Matendo ya Kingai akiwa RCO na baadae kesi ya Mbowe yanatosha kabisa tena bila shaka yoyote kuonyesha muelekeo ya Jeshi la police.
Naomba kusema inatosha sasa Katiba mpya ni muhimu kuliko jambo lolote.
Akili ni nywele,na wewe unazo za kwako,yaani leo mtu uje udhani watanzania wote ni mambumbu kiasi cha kuamini kuwa ushahidi wa Serikali na Kingai et Al.ulikuwa wa ukweli Kwenye ile Kesi ?? Kweli kuna watu mnavuta ndumu!!Kingai anastahili sifa.
Makamandoo wa Mr. Mbowe walikuwa njiani kwenda kumuua Lengai ole Sabaya, wakakamatwa na Kamanda Kingai na Afande Jumanne pale Rau Madukani wakinywa mbege.
Bila hivyo wangemuua ole Sabaya na wangenyongwa, na Mbowe naye angenyongwa kwa ushahidi wa Afisa wa tigopesa.
Watanzania wamshukuru Kingai kuepusha balaa hilo, leo hii tungekuwa na misiba ya Mbowe na Sabaya na wale makamado watatu.
Zaidi sana tumshukuru Mama kwa huruma yake bado Mbowe na makamandoo wake wangefungwa si chini ya miaka 7 kwa kula njama.
Kesi hizi hazifutiki huwa zinaweza kufufuliwa tena pindi ushahidi zaidi ukipatikana. Tukumbuke Mbowe hakuwahi kutoa ushahidi aliokolewa na Rais.
unasubiri kama katika payukapayuka yao kwenye Blogs za Maria Sarungi hawajisahau watoe siri iongezee ushahidi.
Kazi iendelee
Mpuuzi weye!Kingai anastahili sifa.

Sasa mbona hawakufungwa?Kingai anastahili sifa.

Unajua maana ya halali?Hiyo hiyo kesi ya Mbowe ndo ilimpaisha
Mashtaka ya Mbowe yalikuwa halali kabisa na wengine tulilijua hilo kabla hata Mbowe hajatiwa korokoroni.
Umekata tamaa kufanya ninHeshima sana,