Unaambiwa yule tapeli wa bongo muvi , Dude ndio mzee wa koneksheniSiamini kabisa mtu ambae hauawahi kuwa hata class monitor darasani anaweza kuwa DC.
Uteuzi wa aina hiyo unazalisha mabango mengi sana kwenye ziara. Uteuzi wa hivyo unamlazimisha DC atumie vyombo vya dola kutiisha wananchi.Kwanza ni lazima awe kificho, kipenyo au mbeya wa kitengo anayejulikana!
Kuwa kada ni ziada tu...
DC kwa wenzetu ni mtu mwenye sifa na hadhi ya kuweza kuwa Rais. DC wetu hapa anaweza kutukana hadharani, anaweza kubambikia mtu kosa, anaweza kunyang'anya mke au mume wa mtu, anaweza kulewa chakali, anaweza kufanya uhalifu kama mtu mwingine tu.Nyota tu..na connection ndo Kila kitu mujini
DC kwa wenzetu ni mtu mwenye sifa na hadhi ya kuweza kuwa Rais. DC wetu hapa anaweza kutukana hadharani, anaweza kubambikia mtu kosa, anaweza kunyang'anya mke au mume wa mtu, anaweza kulewa chakali, anaweza kufanya uhalifu kama mtu mwingine tu.
Ukada wa CCM na ujasiri wa kuwatukana ChademaWatu wote nchini wako wilayani na wanaishi wilayani. Wilaya ndio uti wa mgongo wa taifa na uti wa mgongo wa maisha yote ya watu. Ukikosea kwenye wilaya utakosea kwenye taifa pia. Hivyo kiongozi mkuu wa wilaya lazima awe mwenye elimu, ujuzi na uzoefu wa kuongoza watu badala ya kuchagua kwa kubalance mambo fulanifulani.
Je, ili kuwa DC ni vitu gani vinaangaliwa?