Uteuzi wa makatibu tsd

Uteuzi wa makatibu tsd

Joined
Mar 15, 2013
Posts
24
Reaction score
9
Za majukumu wadau! Naomba kwa mwenye kujua hawa watu wanaoitwa makatibu wa utumishi wa walimu hupatikanaje? kama wanateuliwa ni nani huwateua na taarifa zao za mwezi huwa wanazitoa kwa nani? Naombeni uelewa huu tafadhali
 
taarifa za mwezi wanazipata kwa wakuu wa shule..
 
Back
Top Bottom