Uteuzi wa marehemu kuwa DED, ni tafsiri kuwa walio hai hawatoshi au nafasi za uteuzi zimekuwa nyingi?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kuteuliwa kwa marehemu Milton Lupa kuwa DED huko Kilolo Iringa kumeleta tafsiri tofauti vichwani mwa watu. Je, waliopo hai nafasi hawapewi, wanapewa marehemu?

Au walio hai hawatoshi au hawafai?

Serikali imekaa kimya bila kulitolea ufafanuzi jambo hili.
 
Marehemu Afufuke Aje Achape Kazi Maana Mamlaka Zinamhitaji Kazi Zimekwama Ndiyo Sasa
Wakapachika Jina Lake!! Tanzania Wahuni Wameshika Hatam Wanapiga Copy Government
 
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…