Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
TEUZI WA MKUU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA - CВЕ
21 Novemba, 2023, DODOMA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.), kwa Mamlaka aliyo nayo kwa mujibu wa Sheria ya Chuo cha Elimu ya Biashara Sura 315 na marekebisho yake ya mwaka 2020 kifungu 14(6B) (1) amemteua Prof. Edda Tandi Lwoga kuwa Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE).
Uteuzi huu umeanza Novemba 17, 2023.