Uteuzi wa Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na JKT ni mpango au njama za CCM?

Usanii wa aina hii upo sana..Maana uliyoandika yoote hayana mana yeyote Waziri wa Ulinzi kuwa Mwanamke haiongezi chochote na katika nchi hii wako watu mil 60 basi tu waliokuwa hapo wanajuana na wakubwa ndio mana mnaona shida kupata Waziri.

LAKINI wapo Marais na Mawaziri wazuri sana ila mifumo mibaya haiwapi nafasi.
 
Umepatiaa, pia muombe atuteulie IGP mwanamke, aondoe uonevu polis, maana uonevu Ni mwingi Sana huko polis
 
Limetimia tuone faida au madhara ya uteuzi kwenye maswala nyeti kama hayo tuone je siasa za sifa zina tija???Ngoja tuone hayo maombi yako kama yana impact chanya kwenye ombwe la siasa hizi za ccm.Kama ni kubomoa hali ya usalama wa nchi ni wakati huu ambao siasa za hamsini kwa hamsini zimetawala.
mad
 
Muda in mwalimu mzuri, kila ajaye aja nalake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…