Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 Mar 10, 2025 #1 Uteuzi wa Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ziizokuwa wazi ndani ya CCM na jumuiya zake kwa nafasi za Wilaya na Mikoa
Uteuzi wa Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ziizokuwa wazi ndani ya CCM na jumuiya zake kwa nafasi za Wilaya na Mikoa
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,035 Reaction score 8,218 Mar 10, 2025 #2 Kwa nini utaratibu huu ambao upo kwenye katiba ya ccm na kanuni za uchaguzi za ccm haukufatwa kwenye uteuzi wa wagombea nafasi ya urais Tanzania bara na Zanziibar?
Kwa nini utaratibu huu ambao upo kwenye katiba ya ccm na kanuni za uchaguzi za ccm haukufatwa kwenye uteuzi wa wagombea nafasi ya urais Tanzania bara na Zanziibar?