Nimeshangazwa na maelezo kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anaingia ktk bunge la Katiba kuwakilisha Waganga wa kienyeji na kuwasemea huko. Lakini pia wiki hii Maaskofu na Wachungaji waandamizi wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (PCT) walifanya kikao na kulalamika kuwa walipeleka majina yao katika ofisi ya uteuzi na hakuteuliwa hata mmoja wao.
Najiuliza kuwa hivi yule aliyekuwa anateua, hawa Wapentekoste ambao kwa kweli ni wengi sana nchi hii, na Waganga wa kienyeji nani ambao wangepewa uwakilishi? Ama ni dharau kwa Wapentekoste?
TUSEME AFADHALI MGANGA WA KIENYEJI KULIKO MPENTEKOSTE? Swali hiuli nalielekeza kwa JK kwani ndiye aliyeteuwa japo sijui kama anasoma JF!
Wapentekoste kwa hili wamedharauliwa sana!!!