Uteuzi wa wajumbe wa bodi ya shirika la uzalishaji mali la Jeshi la Polisi

Uteuzi wa wajumbe wa bodi ya shirika la uzalishaji mali la Jeshi la Polisi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
1000101434.jpg

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (MB) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 6(2)(a-g) cha Amri ya Uanzishwaji wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi ya Mwaka 2013, iliyofanyiwa Marekebisho Mwaka 2023, amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi;

i) Bw. Omar Issa-Mwenyekiti
ii) Dkt. Prosper Mbowe Kilamuu-Katibu
iii) Dkt. John Marato Sausi-Mjumbe
iv) SACP Selemani Enock Nyakulinga-Mjumbe
v) SACP(Rtd) John Francis Massawe-Mjumbe
vi) ACP Moses Yuda Luvinga-Mjumbe
vii) Bw. Nyaswa Kalomo Machibya-Mjumbe
viii)Bw. Arafat Ali Haji-Mjumbe
ix) Bw. Idd Rashid Kilima-Mjumbe
Uteuzi huu umeanza rasmi tarehe 28 Julai, 2024.
 
View attachment 3060521

hakuna MWANAMKE hata mmoja! mfumo dume! masauni kafikiria kwa kutumia nini?
 
Kitu nimependa,wajumbe wengi ni Maaskari au waliowahi kuwa maaskari.
Sasa bodi nyingine,utakuta wajumbe wamejaa watu wa kada tofauti kabisa na shirika husika.
 
Hawa wameacha kazi kuu inayowahusu,mbali na kuwa na uhaba mkubwa na uhitaji wa huduma ya kipolisi wanakwenda kuanzisha shughuli nyingine zisizohusiana na taaluma yao.
jkt wana suma maana wana vijana wa kujitole.
Magereza wana shima,maana wana wafungwa.
Haya PT wana nguvukazi gani???
 
Mahabusu😀😀
 
Kazi ya polisi ni kulinda raia na ali zao.Hiyo kazi ya uzalishaji Mali ni kichaka Cha kufuja pesa za umma na kujineemesha vigogo wa polisi.Maana nguvu kazi hawana kama ilivyo jkt Kuna nguvu kazi ya Bure wanaojitolea.Huu mradi wa majambazi ufutwe haraka sana hauna faida Kwa nchi
 
Back
Top Bottom