Tetesi: Uteuzi wa Wakuu wa Idara katika Halmashauri Nchini

Tetesi: Uteuzi wa Wakuu wa Idara katika Halmashauri Nchini

Mbakwaji

Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
25
Reaction score
14
Mkuu wa nchi alianza unono kwenye ishu za uteuzi ila sasa wale wahusika haswaaa wanaofanya halmashauri zitekeleze malengo hajawagusa kabisa.

Naona kama sasa ni wakati wa Mkuu wa kaya kuteua wakuu wa idara nchi nzima tena ila asiweke makada. Aweke watendaji.

Nimemkumbushia tu. Napita hivi
 
unataka ateue wasukuma wenzake tena. amejaza wakurugenzi wasukuma . kuna mkoa wakurugenzi sita wote kabila moja . tutaonana 2025 .
 
unataka ateue wasukuma wenzake tena. amejaza wakurugenzi wasukuma . kuna mkoa wakurugenzi sita wote kabila moja . tutaonana 2025 .
Hebu utaje huo mkoa na majina tuwajue na sisi kwa faida ya wasomaji
 
Duuuuuuuh!Hiyo itakuwa ngumu, hivi unajua kuna wakuu wa idara wangapi nchi hii??
 
Wakuu wa Idara September watateuliwa--Sharti moja,uwe Kada!!!!!
 
Nafasi wazi kwa ng'ombe wenye mikia.then tailless ones.!
 
Back
Top Bottom