M Mbakwaji Member Joined Aug 24, 2016 Posts 25 Reaction score 14 Aug 27, 2016 #1 Mkuu wa nchi alianza unono kwenye ishu za uteuzi ila sasa wale wahusika haswaaa wanaofanya halmashauri zitekeleze malengo hajawagusa kabisa. Naona kama sasa ni wakati wa Mkuu wa kaya kuteua wakuu wa idara nchi nzima tena ila asiweke makada. Aweke watendaji. Nimemkumbushia tu. Napita hivi
Mkuu wa nchi alianza unono kwenye ishu za uteuzi ila sasa wale wahusika haswaaa wanaofanya halmashauri zitekeleze malengo hajawagusa kabisa. Naona kama sasa ni wakati wa Mkuu wa kaya kuteua wakuu wa idara nchi nzima tena ila asiweke makada. Aweke watendaji. Nimemkumbushia tu. Napita hivi
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,303 Reaction score 23,064 Aug 27, 2016 #2 Eboooo!! tetesi au maoni?
M montana zayumba JF-Expert Member Joined Nov 9, 2014 Posts 225 Reaction score 31 Aug 27, 2016 #4 Kichwa habari hakiendani na maelezo yake. Funguka kama kuna mabadiliko yeyote.
ibesa mau JF-Expert Member Joined Sep 17, 2015 Posts 2,109 Reaction score 1,697 Aug 27, 2016 #5 unataka ateue wasukuma wenzake tena. amejaza wakurugenzi wasukuma . kuna mkoa wakurugenzi sita wote kabila moja . tutaonana 2025 .
unataka ateue wasukuma wenzake tena. amejaza wakurugenzi wasukuma . kuna mkoa wakurugenzi sita wote kabila moja . tutaonana 2025 .
M mwembemdogo JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 2,282 Reaction score 1,252 Aug 27, 2016 #6 Sio Kazi yake
M Mbakwaji Member Joined Aug 24, 2016 Posts 25 Reaction score 14 Aug 27, 2016 Thread starter #7 ibesa mau said: unataka ateue wasukuma wenzake tena. amejaza wakurugenzi wasukuma . kuna mkoa wakurugenzi sita wote kabila moja . tutaonana 2025 . Click to expand... Hebu utaje huo mkoa na majina tuwajue na sisi kwa faida ya wasomaji
ibesa mau said: unataka ateue wasukuma wenzake tena. amejaza wakurugenzi wasukuma . kuna mkoa wakurugenzi sita wote kabila moja . tutaonana 2025 . Click to expand... Hebu utaje huo mkoa na majina tuwajue na sisi kwa faida ya wasomaji
M MTENDAHAKI JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 4,013 Reaction score 1,447 Aug 28, 2016 #8 Duuuuuuuh!Hiyo itakuwa ngumu, hivi unajua kuna wakuu wa idara wangapi nchi hii??
kiraza mbunifu Senior Member Joined Aug 25, 2016 Posts 159 Reaction score 128 Aug 28, 2016 #9 Unataka tutumbuliwe wewe
Druggist JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 439 Reaction score 528 Aug 28, 2016 #10 Wakuu wa Idara September watateuliwa--Sharti moja,uwe Kada!!!!!
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Aug 31, 2016 #11 Ngoja tuone
Musoma Yetu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2016 Posts 2,633 Reaction score 2,297 Sep 1, 2016 #12 Huu uongo sasa
kson m JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 6,672 Reaction score 3,055 Sep 1, 2016 #13 Nafasi wazi kwa ng'ombe wenye mikia.then tailless ones.!
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,929 Reaction score 8,327 Sep 1, 2016 #14 mnakoelekea mtateua hata wahudumu sasa!