Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Matokea ni yaleyale yalioleak jmosi, TCU inawachagulia chuo si unilichochagua mtu aliyepata 1.7 PCB chaguo lake la 1 ni MUHAS wao wamempeleka BUGANDO mwingine chaguo lake la 1 ana div 3.10 wamempeleka MUHAS. Kijana wangu chaguo lake la 1 ud law div 2.8 wamempeleka mzumbe rafiki yk 2.9 kapelekwa ud, mwingine kapelekwa st joseph na jina lake leo nimeliona kapata 1.7 PCM ST JOSEPH chaguo lake la mwisho. Sio haki kabisa
Huoni kwamba hilo ni jambo zuri kuondoa MATABAKA

MUHAS upate three uje kusoma MD au pharamcy???hyo haipo usilete uongo muhas wapo strict sana,hata Tcu sidhan kama wanaweza fanya hvyo hzo habar sidhan kama una uhakika nazo labda kama umesikia tu mitaani
habari za kusikia watu wanazungumza wakati mtu upo chooni kujisaidia ni mbaya sana......eti MD MUHAS 3 PTS 10 kwanza mwanafunzi mwenye busara hawez enda coz atashikwa mapemaaaaaaaaa
komaaaaaaaaaaa
Ndugu mfano ninao rafiki wa mtoto wangu,uhakika kama matokeo ya jmosi ndio vyuo watakavyoenda nimeupata leo baada ya st joseph kuweka majina.Sikulazimishi uniamini
Ndugu nilikwenda jtatu asubuhi na mtoto wangu wakadai matokeo hayatoka sasa leo st joseph ndio wamenidhihirishia yale yalikuwa matokeo halisi, nategemea kuwafuata jtatu kwakweli wanatusumbua na sisi wazazi
na ukienda jumatatu unayakuta yote. hahahaha kaa kazini jenga taifa kila kitu kipo kwenye system. imagine matokeo yametoka mwez wa 7 mwez huu mnapewa mayokeo ya vyuo bado mnalalamika. wewe kama mzazi ulitakiwa kujipanga tangu ulipoona matokeo ya mwanao.
kama anakitaka MUHAS asiende chuo asubiri mwakani. kwa logic yako kusiwe na chaguo la pili na kuendelea. muulze huyo mwanao hcho chuo hakuchagua? na hiyo three ya muhas haipo. huyo alokwambia amekudanganya ndo nyinyi mnaamin kuwa kuna IV ya penat.
si kweli hiyo na haiwezekani.....and u know what....i have a feeling wewe sio mzazi wala nini......ni fom six liva unayesubir kuingia chuo na una mchecheto mbayaaaaaaaaaaaNdugu mfano ninao rafiki wa mtoto wangu,uhakika kama matokeo ya jmosi ndio vyuo watakavyoenda nimeupata leo baada ya st joseph kuweka majina.Sikulazimishi uniamini
Pole sana,huelewi maana ya kuwa nachaguo la 1 nn na wao walisema wanafuata chaguo la 1 kama umetimiza vigezo hapo uelewi nn.Nimekupuuza