Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
Sasa vipi kwa wale walioambiwa kuwa wanaweza kuta wamechaguliwa kwenye kozi za first round (Kama tangazo la jana lilivyosema) inakuwaje?
 
Sasa vipi kwa wale walioambiwa kuwa wanaweza kuta wamechaguliwa kwenye kozi za first round(Kama tangazo la jana lilivyosema) inakuwaje

hao watakuwa wamefanya 2nd round aplct ili kutimiza lengo so wakati wa selection watapelekwa kwny course zao sababu record ipo tcu we kama ulikuwa na div1 au 2 tena ya pcb au cbg habar ni njema..
 
Jamani mimi kuanzia j4 adi Leo bado nimeamdikiwa in progress.

Ila pale chini wameniandikia et process successful u have been selected, tena kwa rangi nyekundu jamani mwenzenu presha ipo juu.
 

Point 7, 8 na 9 almost the same tu. Haijalishi kwamba mwenye 8 ndo aende UD na 9 ndo aende St Joseph. System ndo inaamua.
 

Embu tuliza huo mshono aisee......mbona unakuwa na kilalulalu hvo mwanaume....tar 22 si ni jumatatu hapo.......tuliza hilo jipu basi...............
 
huna akli kumbe. na kiwan chake cha 7 ajiulze kuna 1 za 3 na 4 na 5 ngap ndo aanze kulalamika. we na ww p00r sana

pole sana sikulaumu ni malezi mabaya uliyopewa na wazazi wako kama ungelikuwa na malazi mazuri usingekua unajibu utumbo ngoja nijaribu kukuelewesha haiwezekeni achukuliwe mtu mwenye 3 kwenye kozi hiyohiyo akaachwa mwenye 1 na wote ni 1 priority sikujibu tena nawapa pole sana waliokulea hujafundishwa maadili
 
si kweli hiyo na haiwezekani.....and u know what....i have a feeling wewe sio mzazi wala nini......ni fom six liva unayesubir kuingia chuo na una mchecheto mbayaaaaaaaaaaa

pole usilolijua ni sawa na usiku wa giza, mimi nimetoa tatizo ukubaliki ukatae TCU system zao mbaya
 
Embu tuliza huo mshono aisee......mbona unakuwa na kilalulalu hvo mwanaume....tar 22 si ni jumatatu hapo.......tuliza hilo jipu basi...............
Teh teh teh mkuu matusi yako yananifurahisha sana MSHONO ?!! JIPU?ndo nini hivi
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…