Kwani ni wahandisi tu ndio anaeweza kufanya kila kitu?Mbona mtu aliye teuliwa inaonekana ni ndugu tu, Wala sio mhandisi, watu wanaokotana majalalani huko na kupeana vyeo
Hauko sawa..huyo aliyeteuliwa ni Mhandisi tena level ya consultantMbona mtu aliye teuliwa inaonekana ni ndugu tu, Wala sio mhandisi, watu wanaokotana majalalani huko na kupeana vyeo
SawaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Haji Mohamed Haji kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO).
Kabla ya uteuzi huo Haji alikuwa ni Mshauri Elekezi wa Kujitegemea, uteuzi huo unaanza leo May 22,2024.
Mambo ya nchi za kigeni ndugu usikomae sanaMbona mtu aliye teuliwa inaonekana ni ndugu tu, Wala sio mhandisi, watu wanaokotana majalalani huko na kupeana vyeo