Elections 2010 Uthibitisho huu hapa!

Kwa wale waliokuwa hawaamini kuwa CCM wameiba kura fungua hii attachment uone jinsi chama hiki kinavyoendeshwa na mafisadi


Nimekuwa nikijaribu kufungua hiyo attachment bila ya mafanikio, msword imeshindwa,, labda nipe ufafanuzi jinsi ya kufungua.
 
Nami pia nimeshindwa. Hilo file linaonekana limeliwa na mdudu. Tuwekee tena tujionee wenyewe ufisadi huo
 

Kumbuka uchaguzi wa 2005, M/kiti wa chadema Mbowe alikaa kiti cha mbele wakati wa kuapishwa Kikwete, wakati huo vyama vingi vya upinzani havikubaliana na matokeo kikiwemo CUF

Chadema mnaanza kulalamika mlikuwa wapi miaka yote wapinzani wakiibiwa kura, mchungaji Slaa ulikuwa bussy na wake za watu na Mbowe alijipendekeza kwa Kikwete ???

Chadema inabidi mkomae...
 
kaoshe kwanza ndipo uje.
 

jamani nauliza is there vaccine against stupidity?
 

Siamini kama umeandika mwenyewe pumba hizi. Hadhi uliyo nayo katika jukwaa hili na uelewa mdogo uliounyesha haviendani kabisa. Tukiachana na pumba zako, rekebisha hiyo "bussy" hapo juu, inaandikwa "busy", nilijifunza chekechea.
 

huu ni utumbo tena uliooza,ina maana hpo ndo akili yako imefika mwisho wa kufikiria?
Umechakachuliwa kwel kwel . . . !
 

Hivi huyu mzee mnashindwa kumuandama kwa hoja mnakazania wake za watu, ALIPITIA WAKE ZENU, AU DADA ZENU, AU NANI? Ongeeni vitu vya msingi. Mbona mafuska wanajulikana hawatajwi tu kwa kuheshimiana
 
Kwa wale waliokuwa hawaamini kuwa CCM wameiba kura fungua hii attachment uone jinsi chama hiki kinavyoendeshwa na mafisadi

Hiyo Doc ina matatizo ulipo save ulichanganya mambo fungua tena na save kwa jina fupi tu hapo kwa Desktop then upload the doc

 
jamaa asije akawa ameweka Kirusi jamani tuwe makini maana hatujuani humu,

isije ikawa imechakachuliwa!!
 
yaliyojiri kwenye kikao cha la cairo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…