Uthibitisho mishangazi imeanza kupendwa kitambo; mikasi ya ngwea

Uthibitisho mishangazi imeanza kupendwa kitambo; mikasi ya ngwea

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
dereva funga brake tushafika kwenye party
eeeh bwana eh kumbe bonge la party
cheki mademu kibao utadhani kitchen party
duh! cheki lile anti lililovaa skintight
ee bwana eh! liko safi
sio mchezo babake unaweza ukahonga laki
aah wapi! mtu kama mi hanipati
usawa wenyewe huu wa kulenga kwa manati
haya basi tujichanganye katikati
tukacheki mitungi na mademu wa mikasi

oh yeah, braza mwenye black unaitwa na yule anti
‘yuko wapi?’ yule aliyevaa suti ya kaki
aunty vipi?
aah safi. samahani kwa kukupotezea wakati
nilikuwa naomba tuwe wote kwenye party
au unasemaje? (mi naona safi)


samahani wewe anti ambaye umevaa shati
hivi unaitwa nani eh? naitwa bahati
hivi aunty nishawahi kukuona wapi?
acha longolongo we sema una shilingi ngapi
 
Mambo ya MASHANGAZI yapo tangu hata enzi za akina Nyerere huko.
Ni jina tu limebadilika
Rejea jina SHANGINGI ni wakina nani?
 
Kupendwa kwa mishangazi imeanza zamani sana toka miaka hiyo, uthibitisho ni Nyambizi yake Dully Sykes
"Nyambizi nakupenda japo mkubwa
Mateso unayonipa ni makubwa
Naomba unielewe wangu mchumba"
Pia wimbo wa Kikongwe wa msanii picco
 
Back
Top Bottom