Mshumaa_Tz
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 681
- 2,501
Baada yakufanya tathmini isiyo rasmi...nimegundua sehemu ...ambayo CCM wamewekeza mtaji wao mkubwa ni vijijini. Hapa CCM wanachofanya sio..Miujiza ni njia kama za Akina late Mugabe , Mseven na wazee wengineo ambao wako ..radhi wafie madarakani lakin ..sio kuwapa kijiti wapinzani.
Kwa upande wa vijijini CCM wameweka mtaji wakuwatengenezea matatizo....alafu baadae..wanakuja...kuyaombea kura matatizo waliyo, yatengeneza. Mfano CCM vijijin wanawatengezea barabara zilizo chini ya viwango hili zikibomoka ndani ya miaka mi5 wanakuja kwa via yakuziombea kura hizo barabara.
Pili CCM wamewekeza zaidi kwenye Ujinga yaani wamehakikisha asilimia 90% ya watu wavijini awaelewi chochote kuhusu siasa safi na demokrasia ..hili wamelifanikisha kwa90%
Ivyo basi kutokana na Watanzania wengi kuwa na Elimu ndogo, na maisha magumu imekuwa vigumu kujua tafsiri sahii ya haki wa wote na ustawi bora.
Naitimisha kwa kusema CCM nichama cha illiteracy people. Kwahiyo kukiondoa madarakani mpaka hiki kizazi cha kuanzia miaka ya 70 -80 kitakapoisha hapa duniani.