Uthibitisho wa Tiba ya Gumboro

UKO MBALI UNGEKUWA DAR NINGEHAMIA
hahaha ujilal hatami wakat natoka dar nilikua nahs naenda mbali na cdhan kama nitaweza ishi nje ya dar ila kwasasa nimepakubal na nafanya vitu hatar so ucogope life popote kikubwa kujitambua na tr7 nitakua dar anaeitaj mayai ya kanga yaliona uhakika wa kupata vifaranga tuwasiliane 0717209059
 
ni kweli mkuu tiba ya gumboro huwa tunawapa sukari unakoroga sukari nyingi kwelikweli ukiwapa kuku wanapona .sio kwamba gumboro haitibiki
Gumboro haina DAWA mkuu.,ni viral disease., severely affected will die regardless of the amount of sugar/glucose you give.less severely affected may recover as long as the body immunity withstands the viral challenge .sugar /glucose is used as supportive therapy plus some antibiotics to take care of secondary infections /magonjwa nyemelezi .its like Ebola patient .,no treatment will cure the patient rather than giving the shit some supportive therapy .
Thanks.
 
Wakuu nataka kununua kuku wakubwa 50. Je naweza kuwapaje chanjo? Naweza kuichanganya au niwaachie muda chanjo moja baada ya nyingine na ni muda gani? Nizingatie chanjo zipi hasa? Ninapotaka kununulia nataka wapate chanjo hapo hapo ndio niwasafirishe. Msaada tafadhali.
 
Katika jamii zetu mawazo na majaribio yetu pindi yafanikiwapo na kuunganishwa huleta suluhiso kamili na linalo aminika. wataalamu wa maabara kazi kwenu kufanya utafiti. katika neuntries zilizopo katika sukari,nanasi huenda virusi vya gumboro vikawa vinadhibitiwa na neutrients zilizopo katika sukari na nanas ...Kunashauri zitolewazo za kuwapa kuku walio athirika multvitamin ili kupunguza idadi ya vifo kutokana na gumboro....

mimi kuku wangu Nawapa vitamini kama binadamu,ntacho kula mimi nae ale....
nanunua mifupa buchani naichemsha kisha naiponda na nyundo kuku wanakula ,imefikia sasa wakiona nimechukua nyundo wanakimbilia sehem nabondea mifupa na kunisubiria.
 
mimi nilifundishwa na mzee mmoja akaniambia ukiona kipindi kuna upepo sana usinunue kuku,kwani kipindi hicho magonjwa ndio huama
 
Mimi nilipawa nanasi bila kudhamiri lakini ndani ya muda mfupi kuku warejea na afya nzuri mpaka sasa,nimeamua kutoa jaribio hilo ili jamii nayo ifanyie utafiti zaidi hususa kwa taasisi za kimaabara zaidi
 
ndui mbona haimo kwenye ratiba yako ???
pia niongezee chemsha maji kama ni ya bomba ili kuua nguvu ya chloride ile wanaweka kusafishia maji au tumia maji ya mvua au mto ila yawe masafi!!
 
KUKU
ndui mbona haimo kwenye ratiba yako ???
pia niongezee chemsha maji kama ni ya bomba ili kuua nguvu ya chloride ile wanaweka kusafishia maji au tumia maji ya mvua au mto ila yawe masafi!!
maji ya mvua sio mazuri iwapo yatahifadhiwa katika vyombo vya plastic. pengine uhifadhipo chukua mchanga haswa,mweupe ila mzuri zaidi ni mchanga ya Pozolana wa miamba {unaeza upata sehemu wamechimba choo ule wa chini kabisa unasafisha maji vizuri zaidi}
 
Vp mkuu chanjo ya ndui haipo kweny list yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…