Augustine Aloyce
Member
- Oct 8, 2018
- 34
- 25
Bado watu wanabisha juu ya juhudi ambazo huleta matokeo baada ya kujituma. Tuko na safari ndefu sana...Hakika, woga wako ndio umaskini wako.
Acha wabishe ila wanaotia juhudi matokeo yanaonekana.Bado watu wanabisha juu ya juhudi ambazo huleta matokeo baada ya kujituma. Tuko na safari ndefu sana...
Oky, Hua nawaambia watu kuwa Umasikini ni Roho pia Utajiri ni Roho.Acha wabishe ila wanaotia juhudi matokeo yanaonekana.