UTI husababiswa na Ngono kwa njia ya mdomo

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
170
Jaman kunautafiti flan ambao na mi nimeufuatilia nimeona inawezekana unaukwer.
kua % kubwa ya wanawake wanaopata UTI ni wanajihusissha sana na Ngono kwa njia ya mdomo yaan
wanaita kuzamwa chumvin n.k.......
Katika kufuatilia nimeona kuwa kunaukwer wanawake wengi ambao wanapatwa na UTI pia ni washiriki sana wa hili tendo. Mdomo huwa na bacteria mbalimbali ambao pindi wakutanapo na Uke huwa au huleta madhara kwa wanawake hawa hususan ambao wanakua na kiwango kidogo cha acid ambayo hutumika kama mlinzi wa mazingira ya uken .
Bacteria hao huingia na kuanzisha makazi ukene na ndipo madhara huanza kuonekana.
My take tuache tabia hz.
 
Hivi utafiti maana yake nini? Manake naona fani ya utafiti imeingiliwa.

Cc Dark City
 
Last edited by a moderator:
Hapana. Si kweli. Kwanza unatakiwa uelewe UTI ni nini. UTI ni kifupi cha Urinary Track Infection ni maambukizi kwa nji ya mkojo ambayo husababishwa na mgusano wa maji maji enye maambukizo ya bacteria hao pia kushiriki ngono kinyume cha maumbile nayo husababisha maana asilimia kubwa bacteria hawa wapo kwenye kinyesi na si mdomoni. Na kama un UTI sugu unaweza kuniPM namba zako kama unahitaji dawa. Dawa ni miti shamba na haina madhara.
 
Vichwa vingine..!! Kama huna cha kupost kaa kimyaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Na watoto wadogo nao wanaenda chumvini?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
wadau wa simba mtoni watabisha hili.
 
wadau wa simba mtoni watabisha hili.



Kama nilivyoeleza hapo juu Kuzama chumvi huwezi kupata UTI kwa maana hiyo unataka kutuabia maambizi kwa njia ya mkojo yanatoka mdomoni? la! hasha. Ndg yangu #Maula ulishopost hujafanyia uchunguzi au utafiti bacteria waliopo mdomoni ni tofauti na bacteria wanaoambukiza UTI. Nina muda mrefu nikiwa natoa tiba ya UTI kwa tiba ya miti shamba kwa hiyo usipotoshe jamii
 
bacteria aina ya UTI yaaani E.COLI hua wanapatikana tumboni..hawa hawana madhara wakiwa tumboni..mdomoni hio napinga
 
Si ukweli.Ngono kwa njia ya mdomo haileti UTI.
Bacteria wanaoleta UTI wapo zaid ktk haja kubwa.UTI ipo sana kwa wanawake kutokana na ukaribu wa njia ya mkojo na njia ya haja kubwa kwa wanawake.
Sana sana ugonjwa unaoweza kupata kwa ngono ya mdomo ni satatani ya koo kutokana na maambukiz ya virusi vya Human Papilloma Virus.Hata iyo saratani ya koo zaidi inasababishwa na pombe na sigara zaini na kwa nadra sana hao virusi vya Human Papiloma virus ambavyo vipo katika shahawa na maji ya ukeni.
 

yaan hawa bacteria mpaka kufika katika kinyesi pia huingia kupitia njia ya mtomo, kutokana na mambo mbalimbali kama vyakula so huweza kuishi mdomoni na ktk mfomu wa mmeng'enyo wa chakula kwa hiyo huweza kuhama kutoka mdomon kuamia ukeni kwa wale wazamaji
 
Ndio maana nikiipaka mate hapendiii!
 
Mbona watoto WADOGO wanakutwa na UTI inatokana na nini?
 


Nimeshindwa kukuPM sijui ndo wanafanyaje
 
MAULA hebu nipe kwanza kirefu cha UTI kabla sijakuhukumu vibaya kwakuwa yaweza kuwa huna kosa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…