JamiiForums doctors mkuje mtujuze hii changamoto mbona UTI imepamba moto kwa miaka ya hivi karibuni na kibaya zaidi inazidi kuwa na nguvu zaidi ni kama bacteria wafenyafanya kuji-update tofauti na miaka ya nyuma miaka ya 90's.

Imenisumbua week iliyopita ni hatari, kuna kiumbe alichepusha machine yangu aliipeleka sehemu sio sahihi ndio ikachangia kupata huo ugonjwa ambao sijawai kuumwa na umri huu.