Drjacka92
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 445
- 522
Salaam.
Mwanangu amepata Tatizo la UTI baada yakumpeleka Hospital Leo Asubuh, Na kilichofanya nimpeleke kupima ni kutokana Na usiku mwili ulipandisha joto Sana mpaka ikawa inaogopesha.
Amepimwa Typhoid Hana, Malaria pia Hana, baada yakupima mkojo Ndio ikajulikana ni UTI.
Daktari akamuandikia Sindano Ceftriaxone 500mg Pamoja Na Cotrimazale, sasa kabla hajachoma sindano Daktari mwingine akasema asichome sindano kwakuwa UTI yenyewe haijawa serious kiasi kikubwa hivyo yeye akasema itumike Erytromycin therapy.
Sasa wataalamu wangu humu mnazungumziaje Hili, mana kijana anaendelea Na erythromycin hapa naandika navuta Muda wakumpa.
Je, Hii Anayotumia naile Injection Bora zaidi ni ipi? Mana mwili Bado unajoto Sana wahuyu Mtoto.
Ahsante.