Wakuu hivi kunauhusiano wowote kati ya UTI kwa wanawake na kufanya mapenzi. Ktk kutafuta tafuta nasoma kuwa wanawake wakubwa (achana na watoto) wanaweza kupata haka kaugonjwa baada ya kufanya mapenzi.
Nisaidieni jamani maana baada ya kumdadisi rafiki yangu ameniambia kuwa anaumwa UTI wakati huohuo sina uhakika na mwenendo wake.
Najua hana uzoefu na mammbo ya mapenzi.
Nisaidieni jamani maana baada ya kumdadisi rafiki yangu ameniambia kuwa anaumwa UTI wakati huohuo sina uhakika na mwenendo wake.
Najua hana uzoefu na mammbo ya mapenzi.