Du unazidi kunipa mashaka, na kunikaribisha kwenye jibu. inavyo onekana kuna kitu amekifanya na ilikuwa ni mara yake ya kwanza.
Wakuu ivi kunauhusiano wowote kati ya UTI kwa wanawake na kufanya mapenzi. Ktk kutafuta tafuta nasoma kuwa wanawake wakubwa (achana na watoto) wanaweza kupata haka kaugonjwa baada ya kufanya mapenzi. Nisaidieni jamani maana baada ya kumdadisi rafiki yangu ameniambia kuwa anaumwa UTI wakati huohuo sina uhakika na mwenendo wake. najua hana uzoefu na mammbo ya mapenzi.
acha kumuwazia mwenzako mabaya wewe.......
halafu mapenzi hayana uzoefu....
kumbuka sio sex tu ndo husababisha uti ingawa nayo huchangia ...
anyway...
kama alivyosema BAK
- Uambukizo katika njia ya mkojo unapatikana kwa njia mbalimbali, tukiacha magonjwa ya kujamiiana, uambukizo wa njia ya mkojo unasababishwa na bakteria waishio ukeni au kwenye utumbo wa binadamu. Bakteria waishio ukeni hawana madhara ukeni, lakini wakihama na kuingia kwenye njia ya mkojo husababisha matatizo.
- Hii inaweza kutokea wakati wa ngono kwani wakati huo msuguano husababisha wale bakteria kutoka na majimaji na kufika kwenye tundu la mkojo na kuingia ndani. Bakteria pia wanaweza kuhama kutoka sehemu ya haja kubwa na kuingia kwenye tundu la mkojo.
- Hutokea wakati wa kujisafisha na hasa kama mabaki ya kinyesi hubakia sehemu ya haja kubwa.
- Njia nyingine iwapo mwanamke atakuwa na tabia ya kubana mkojo kwa mda mrefu, kibofu cha mkojo kina misuli inayosadia mwanamke asiende kukojoa anapobanwa na mkojo mpaka atakapokuwa tayari. Iwapo atahisi kukojoa na asiende baada ya muda mrefu, ataichosha misuli ya kibofu kiasi kwamba hata siku anayokuwa na mkojo akikojoa hautoki wote na ule mkojo kidogo unaobaki kwenye kibofu huweka bakteria na kusababisha maambukizo.
mwambie huyo binti awe msafi kunako maeneo bila kusahau achunge matumizi ya public toilets pia kuna maambukizo mengi sana kule...

Hiyo moja ndo naitaka, hizo nyingine nazijua....Kwanini uwe na wasiwasi na kujiweka roho juu!? kuna sababu mbali mbali ambazo zimeorodhshwa hapo kwanini ujikite zaidi kwenye hiyo ambayo ni negative kuliko zote? Mwamini mwenzio banaa.
asante kwa ushauriKwa kifupi si kila UTI kwa wanawake inasababishwa na kufanya mapenzi, kuna njia nyingine zinazosababisha mwanamke kupata UTI. Hivyo si vema kumfikiria mpenzi mabaya mapema. Ingekuwa ni STI (Sexual Transmitted Diseases) ungekuwa na uhakika kuwa mpenzi wako hana uaminifu kwenye mahusiano yenu.
Mi si daktari, ila nakushauri jaribu kuipost mada yako JF doctor huko utakutana na wataalam waliosomea kazi zao na wenye uzoefu wanaweza kukupa ushauri mzuri zaidi ...