Utii wa mwanamke ni dawa tosha ya nguvu za kiume


Sante Ruta kwa ufafanuzi pamoja na mistari...unajua hata hivi vilio vya kutendwa ukivichunguza sana unaweza kuta mmoja ktk wanandoa kuvaa uhusika/tabia bandia mke ni vizuri akawa mke...kadhalika mme awe mme......kama ilivyoutata kwa mke kumesh na dumejike vivyo na mume kumesh na jikedume..
 
Wanaume wengine wana hila tu hata uwaheshimu vipi bado wanakuwa wakatili tu

Shantel wewe mheshimu tu....................fidia na kisasi mwachie Muumba atajua la kumfanya..........................nimeona wanaume wengi wakatili kwa wake zao lakini Muumba amewashikisha adabu kwa matukio mengi ya kuwadhalilisha na sasa wanaheshimu sana wake zao..........

Soma 1 Timothy 5:22 "Do not lay hands on anyone hastily, nor share in other people's sins; keep yourself pure."
 

nilitaka nikubonyezee likes lakini hazionekani........................Tubarikiwe sote.............
 
Kwa kweli tungefuata maamrisho ya mungu tungefanikiwa lakini ni kinyume wanaume mmekuwa wakatili ,hamna huruma wala upendo kiasi cha kutufanya ss tuanze kuamua kujitegemea hasa kujiendeleza kielimu na kiuchumi maana manyanyaso yamezidiiiiiiiiiiiiiiiii na hayavumiliki
JmNI HAMUWEZI AMINI NIMEMTII MUME MPAKA KIASI CHA KUHATARISHA UHAI WANGU NASHUKURU MUNGU AMENINUSURU MAANA HATA BAADA YA KUPATA HIV ANALAZIMISHA NIENDELEE KUSEX NAE UKIKATAA UGOMVI USIOISHA ,NILITII NA SIKUMMWAMBIA MTU MPAKA ALIPONILETEA MKE MWINGINE JUU YA VIRUSI ALIVYONAVYO HAPO ILIBIDI NDOA IVUNYIKE HAMUEZI AMINI LAKINI HUO NDIO UKWELI UTII SISI TUNAOMWOGOPA MUNGU UNATUUWA
TUSITII KIASI HIKI JAMANI ,Siku hizi siwezi kutii kwa kupitiliza maana waume hamna mapenzi wala huruma .
 
Easy...easy my dear..hatusemi makosa kila kitu kina muda na wakati wake si vizuri kumkosoa muumba wako....kwa kifupi agano la kale Mungu hakutaka mzaha wa mchezo alikuwa na hasira na ndio maana alipochoshwa na uovu hata km ni mtu mmoja aliamua kuteketeza wote,ila baada ya KRISTO YESU KUJA NA AGANO JIPYA MUNGU WETU NI HURUMA....ANASAMEHE NA ANAOKOA..LEO HII WAPO WANAOZAA BILA UCHUNGU UKIOMBA AUONDOE ANAFANYA NA SASA YESU ANASEMA AKIKUPIGA SHAVU LA KUSHOTO MGEUZIE LA KULIA ...SO BIBLE IS GOOD SO AS GOD IS GOOD!
 
Ukizingatia biblia iliandikwa na wanaume.
Naomba kama siyo wa imani ya Biblia usichangie mada za Biblia kwa dhihaka na kufurahisha umati wa jf. Laana itakayokupata hakuna wa kukusaidia humu jf. Jifunze kufikiri kabla ya kudakia mada ili uonekane nawe umeongea.
 

Are you for real??
Usiwe mtu wa kuendeshwa na vitu bila kufikiri..kuchambua na kutafakari.
Biblia ni muongozo ndio maana watu wanasoma ..wanajifunza na kuitafsiri kwa namna tofauti.Kama tungekua tunasoma
tu na kuchukua yote yaliyoandikwa kama yalivyoandikwa tungeshakatana mikono, ng'oana macho na mengine mengi tu
ambayo biblia inaongelea na kusupport japo sio sahihi na mtu akikufanyia sasa hivi utabaki kulaani badala ya kukubali kwamba
''biblia ndivyo inavyofundisha.''

As for me...siamini biblia (ambayo imeandikwa na watu/imetafsiriwa number of times na hata kubadilishwa ) japo nasoma ili kujifunza, bali namwamini Mungu and I..... think for my self.
 

I agree with you...GOD IS GOOD but the bible can be misleading!!!
 
Tatizo la kusomewa maandiko matakatifu. Mungu akuhurumie

Usiwe mtumwa kiasi hicho wewe.....
Babu na babu wa babu yako waliijua biblia??
Kama mzungu asingekuja Afrika akatuletea dini wote tungeenda jehanam??Wote tungekua malimbukeni??
Wewe kwa kuijua biblia na dini ni bora kuliko ambao walikufa kabla hawajaijua kunakufanya wewe bora kuliko wao???

Usiwe limbukeni kiasi cha kuwa na dharau kwa wale ambao hawako kama wewe. Biblia inaweza kuwa manual ya maisha yako kwa sababu uzijuazo wewe na mimi naitumia nipendavyo kwasababu nizijuazo mimi. Usitumie imani yako kuhukumu....na ungekua kweli waisoma/wailewa na kuiishi biblia usingejifanya wewe ndie mwenye haki na wanaomini tofauti na wewe sio!!!
 
Umeongea vyema, mwanamke inabidi uwe mtiifu ila usiwe mtiifu kupitiliza hadi ukaonekana zoba.

Utiifu wa hiari hauwezi kupitiliza bali unatolewa kwa kiasi kile mtu anachostahili.....
Ukiona mtu anakua mtiifu mpaka unashangaa jua analazimika iwe kwa woga, kushinikizwa n.k
 
Mimi ni mkristu na nina haki kusema ninacho amini; am critical so I don't take things on their face value no matter what.

Naomba kama siyo wa imani ya Biblia usichangie mada za Biblia kwa dhihaka na kufurahisha umati wa jf. Laana itakayokupata hakuna wa kukusaidia humu jf. Jifunze kufikiri kabla ya kudakia mada ili uonekane nawe umeongea.
 


Hapo kwenye nyekundu pamefanya mengine yote uliyoandika yaPOTEZE maana!!
Thanks anyway!!!
 
Mimi ni mkristu na nina haki kusema ninacho amini; am critical so I don't take things on their face value no matter what.

Tatizo kuna watu wanadhani kusema 'mimi nasoma biblia na kuichukulia kama ilivyo ' kunawafanya wakristo kuliko wale wanaoaminia na bado wakaona mapungufu yake.
 
Dah! kwa greti thinka Lizzy alivokuwa na hasira kwenye hii sredi! kuna kila dalili jamaa atalazwa mzungu wa nne usiku wa leo na kesho.
Heri mie sijasema
 
Dah! kwa greti thinka Lizzy alivokuwa na hasira kwenye hii sredi! kuna kila dalili jamaa atalazwa mzungu wa nne usiku wa leo na kesho.
Heri mie sijasema

Kloro acha hizo bana....hamna cha hasira wala nini tunaelimishana tu!!
 
Kloro acha hizo bana....hamna cha hasira wala nini tunaelimishana tu!!
Nilielewa bana! I just wanted u to quote me to make my dark night bright. At least now I can log out happily with heartbeats full of Lizzy.
Good night honey.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…