Utii wa wanawake wa kisasa

Anayeweza kuishi na Jadda ni mwanaume mwenye akili timamu mwenye IQ kubwa
Hapa jukwaani anagombana na wanaume wa aina hiyo anawasema kuwa ni wababe, wanyanyasaji, na kadhalika. Sasa ataishi nao vipi, yeye anataka wale maboya wenye akili za "mama kasema".
 
Umeandika jambo la kweli na la maana sana

Wanawake wa sikuhizi kutii hakupo ndani mwao acha sasa Unyenyekevu ndio kabisaa

Ukiwaambia Utii na Unyenyekevu ni sifa njema ya Mwanamke kibiblia watakushangaa sana
 
Kwahiyo unataka wanawake tunyanyasike na bado tuwatii?!!! Kila binadamu anazaliwa na utii, lakini likija suala la dharau, kejeli na manyanyaso sahau mtu kukutii.

Halafu nyie wanaume wa kibongo mnapenda KUABUDIWA km miungu watu.!!
Unaongea as if kitu cha kwanza mwanamke anatakiwa kupitia ni manyanyaso katika ndoa. Unaweza kutupa uhakika kuwa wanawake wote hunyanyasika na huwa wanapitia aina gani za manyanyaso ambazo ni common?

Kwa ninachofahamu wanawake wa kibongo hata ukimwambia mbona chakula kinachelewa au ukamuuliza kwann unachelewa kurudi, atasema haya ni manyanyaso.

Akili za victim mentality mnazorithishwa na wanawake waliowatangulia ambao wengi wao huwa wanawapa maneno ya stress zao bila kuzingatia impact yake kwenye akili zenu.
 
Mahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanatia hasira hawa viumbe, pesa hawana halafu wanataka tuwatii.!!! Uliona wapi Nchi inaendeshwa bila PESA??
So utii unauzwa? Hiyo si ndio nidhamu ya uoga? Kama utii unauzwa basi ndio maana wanaume wanakuwa na options nyingi nje maana wanajua sio genuine submission mnazowapa.
 
Anapiga tu maneno hapa, true story ipo mtaani. Haka lazima katakichezea kwanza mimba lazima ihusike.
 
Unajifanya kuwa na sauti na pesa huna!!! Aaah huo ni mtindio wa ubongo.
Pesa sio sababu ya mwanaume kuwa au kutokuwa na sauti. Unaweza ukawa wewe mwanamke ndie mwenye pesa ila mamlaka na sauti ya mwisho ni ya mume wako maana ndie captain wa familia.
 
Hebu achana na theories ni wanawake wangapi wenye utii wanapata mahitaji yao yote toka kwa waume zao wa ndoa
Usiseme ni wangapi as if ni kitu cha kuona kwa nadra. Sema wewe umejifungia ndani au umezungukwa na kampani ya wadada ambao hawapo kwenye mahusiano.

Huwezi kuliona jua kama hautafungua macho yako.
 
Kuna nyani wenzako wanahudumiwa lkn bado hawana utii kwa wanaume zao
 
Na ndio maana wengi wa ninyi mabinti wa kisasa mahusiano yanawashinda sababu mnayatazama kama biashara. No wonder hamtii wanaume zenu ila mkienda sehemu za biashara mnajenga mazoea ya hovyo na mabosi zenu au wafanyabishara wakubwa sababu wanawavutia kwa pesa zao.
 
Tunatii wazazi wetu inatosha
Kuna vitu mzazi wako hawezi kukupa, ndio maana siku hizi kila mwaka mnakuwa mnabadilisha wanaume hata watano, huko chini hali inakuwa si nzuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hilo ndio la umuhimu, kila mtu ashinde mechi zake
Kila mwanamke m'moja useless anapokengeuka kuna kontena jipya la watoto wabichi linashuka na kuingia umri wa kuanza mahusiano kila mwaka. Haumkomoi mtu.

Tazama umri wako wa sasa halafu kama haujafika thelathini subiri ufike na kama upo thelathini then tazama kijana uliyemkataa ukiwa na miaka 20 kwasasa yupo wapi na anafanyaje. Miaka yako 10 ni sawa na wiki moja kwa mwanaume.

Wewe unazeeka yeye ana mature na kulingana na wadogo zako na ukikaa vibaya hata mtoto wako uliyemzaa wewe miaka michache ijayo anaweza kuja mtambulisha classmate wako wa kiume kama mkweo.

Sasa sijui nani anakomoka ukisusa. [emoji23][emoji23][emoji23] Poleni wanawake wa kisasa huu ujuaji wenu mtajifunza kwa gharama sana.
 
Tena hao wanautaka utumwa sio utii yaani akioa leo anavunjika mikono na miguu hata kikombe kiko karibu yake anataka umletee [emoji2955]
Shida ipo wapi kama anataka mkewe ndie ampe kikombe si ndio mapenzi anayotaka, akianza kumuambia House girl amletee vitu wewe mwanamke utavumilia ? [emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona ving'ong'o!! Ndio hawa kila siku kutupigia kelele humu. Heshima is earned bwana, sasa kama huipati jitafakari. Seems huistahili.
Huku ni kupotoka next level. Heshima kuwa earned haimaanishi sasa mwanamke ubargain na mwanaume muda, wakati na mazingira ya kumpa heshima, kama heshima yako ni conditional then hiyo siyo heshima ni maigizo ya heshima.

Kama haumheshimu mtu ni haumheshimu tu period.
 
Tatizo kubwa walilonalo wanataka kuabudiwa “NDIYO MZEE” sasa wa kumfanyisha huo upuuzi nani?? Kwanza nikifikiria kukipikia kitoto cha mtu na kukifulia na bado hakina PESA hata nisikie matarumbeta ya ndoa sishtuki
Hapa unaonekana unaongea tu just for the sake ya kutoa povu but deep inside mimi na wewe tunajua hauna unachojua kwa uliyoyasema.

Sijawahi kutana na mwanamke wa miaka 30+ kwenda juu ana argue au kubishana kuhusu mahusiano. Uhalisia ukishafika sijui huwa hizi mentality zenu zinapotelea wapi.

Akili za kifeminist huwa ni mkiwa mabinti tu life ikianza kuwa serious mnaanza kubadili topic mnaongea kwa umakini sana maana mnajua kuwa life sasa imeanza kuwa kweli na sio maigizo.

Mnakuwa kama wale wanafunzi watoro ikifika zlmwezi m'moja kabla ya NECTA utaona wanaanza kuwa serious na shule na kufanya yote ambayo walimu wamekuwa wakimforce kufanya.

Anyways, time is not a woman's best friend.
 
Kwasababu one doesn't relate to the other directly. Heshima au utii sio matokeo ya kuhudumiwa na mume au mchumba wako ni matokeo ya malezi ya wazazi yanayokuelekeza kuishi vizuri na watu. Kumtii mwanaume wako haijapishana na unavyomtii baba yako, kaka yako, mjomba wako, baba mwenye nyumba wako, bosi wako etc.

Sasa kama unashida hilo eneo then likely hata hao wengine hautaweza kuwatii pia which means wewe ni mwanamke usiye na adabu na una lack home trainings.
 
Wafanye km bible inavyosema waone km watapiga kelele za kuomba kuheshimiwa..!!
Ni ving’ong’o kweli wala sio utani [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe kutokumheshimu mwanaume wako tayari ni dosari kubwa ambayo hata akikuacha hakuna sehemu utasurvive sababu ukienda kwingine utatazama pesa tu na ndicho kitu kinachowaponza mabinti wa kisasa wengi wenu mnaingia kwenye mahusiano na akili za kidangaji kutafuta maokoto then mnasema wanaume wamebadilika hawajui matunzo.

Mimi siwezi jitoa kuhudumia kahaba anayepretend ni mke mwema na najua tu its a matter of time hata ukimpa matunzo utasafiri huku nyuma wajanja watao kuzidi dau watatomba tena kwa kujiachia.

Ndio maana wanaume siku hizi wanawapa mimba na kusepa. Sababu ni hizi tabia zenu ambazo wazi wazi zinasema kuwa ninyi ni watu wa maslahi.
 
Mwanaume kamili hawezi ishi na wewe, hata kama atakuwa anajielewa ila lazma kuna vitu hatoweza torelate kuna dynamics unazo lazma atazishindwa tu
Kitu ambacho huwa kinanichekesha kuhusu mabinti wajuaji ni kujipa hopes za kupata wanaume wanaofanania na hawa hawa wanaowaletea ujuaji na kugombana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…