Utiifu

sajumo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
1,834
Reaction score
1,055
Nakumbuka kitambo Sana enz nasoma vossa enz izo
Kila siku ilikua lazma pasta ahubir mstalini baada ya mapambio baada hapo yanafuata tena mapambio na kuingia klass
Waaaoh it was wonderful
Siku moja pasta alikua anazungumzia utii
Akaanza kukemea tabia mbaya Kwa sauti ya juu yenye ghadhabu kuonesha amechukia tabia za baadhi ya wanafunz huku akisema "watu weng hamna utii" alisimama kidogo huku akiwangalia watu kwa hasira kuonesha msisitizo alaf akaendelea "utakuta mtu hamtii Dada Ake MTU hamtii mama Ake MTU hamtii mama Wa rafiki yake wanafunz hamuwatii wazazi wenu ".akamliza Kwa kusema oooh haleluya
Nilisiktika baada ya kuitikia amen watu walikua wanacheka soo sad
 
Hii thread yako na hiyo avatar yako takriban vinaendana....haya
 
Alikuwa Pastor Peter au Chimoto au Chimmy au Maana pale hata mimi nilisoma mkuu. Mama Mugarula ndio nilipenda sana mahubiri yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…