Utimilifu tunao ujadili humu kwenye mambo ya dini ni nini ?

Zionist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2017
Posts
1,866
Reaction score
2,996
Nimesoma humu mijadala mingi ikiwa inahoji kuhusu dhana ya utimilifu katika uumbaji. kila jibu lina swali, nimetafakari kwa muda na mimi pia napata maswali mengi zaidi ya majibu. leo nimeona nilete mada hii ili kama tutapata muda kutafakari pamoja tuangalie tutaishia wapi , nina mawazo machache tu. mengine nategemea mawazo ya wadau ili kuelekezana kwa sababu ubongo wa binadamu una ukomo ila ukomo huo unatofautiana kwa mtu na mtu.
1. Mungu alipoumba dunia na vitu vyote alitumia siku sita ya saba alipumzika. Kwa mujibu wa maandiko. na hii siku ya saba, namba saba inaitwa ni ya utimilifu. Mungu alipumzika alikua anaangalia uumbaji wake wote na kujiridhisha kwamba ni vyema alivyo tenda : kwa maana ya ukamilifu.
2.Yesu muda mfupi kabla ya kukata roho alisema "yametimia " ina maana utimilifu ?
Kwa fikra zangu huu Utimilifu hata tufanyeje hatuwezi kufahamu, kwa sababu hatujaweza kuufikia kwa sababu hatujawa watimilifu. Hatujaweza kuifikia ile "saba "
ile saba kwa maana Mungu aliungana na roho zake zote za uumbaji siku ya saba ?
je si kwamba tunakuwa watimilifu tu baada ya kifo ? Pumzi inapokatika na kurudi kwake ? Na ndivyo tulivyoumbwa kwa jinsi yake ?
Baada ya binadamu kuundwa alipuliziwa pumzi akawa nafsi hai lakini ilikua zaidi ya nafsi zote zilizoumbwa kabla, kwa sababu ilikua ni kwa mfano wake tuliumbwa.
Baada ya kifo Tunarudi kwake ?
Je inawezekana utimilifu ni baada ya kifo ?
Cc: Mshana Jr
Nanaa jolie
@Da 'vinci

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitarejea asante kwa mwaliko ...kuna jambo lilitokea mpaka sasa nashindwa kupata tafsiri yake...Anyway itabidi niweke post kamili
 
Back
Top Bottom