Utitiri wa Maduka kuuzwa nini chanzo

More Chances

Senior Member
Joined
Jun 24, 2022
Posts
151
Reaction score
344
Habari wadau
Kipindi hiki kumekuwa na tendency ya watu wengi kuuza maduka yao, Kila nnapotembelea Market place facebook kila baada ya post moja unakuta duka linauzwa.
Maduka mengi yanayouzwa ni ya dawa, nguo, chakula nk.

Je nini chanzo cha maduka mengi kuuzwa kipindi hiki?
 
Ni sahihi kwenye biashara kuna UPS AND DOWN
 
Kodi ya flame tabata ni laki Tano utatoboa vipi?
 
Mkuu, kuuza biashara ni biashara pia! Unatafuta mtaji Start a business halafu unauza hiyo biashara uliyoanzisha. Ni biashara nzuri sana sababu Kuna watu wanaogopa au hawana ujasiri wa kuanzisha biashara kutoka chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…