Miaka michache ya hivi karibuni tumekuwa tukisikia ama kuona katika vyombo vya habari kuhusu watu wa huko U.K. kuendelea kufungua utitiri wa matawi ya C.C.M.
Mbona hatuna hayo matawi huku USA esp. Houston? Ama ni njaa na kujipendekeza kumezidi? Inatia kichefuchefu kuona mtu anayekaa ughaibuni esp. UK & USA ambae tunategemea akili yake itakuwa imefunguka na kuelimika akiwa ndio supporter wa CCM ambayo imejaa ufisadi na uvundo!
Ama schedule za maboksi zimewaelemea huko UK? Lini mtaelimika?
Wadau wa Us kaeni mkao wa kufungua matawi unadhani kwa nn Mama Majar kaletwa huko??:confused2:
Miaka michache ya hivi karibuni tumekuwa tukisikia ama kuona katika vyombo vya habari kuhusu watu wa huko U.K. kuendelea kufungua utitiri wa matawi ya C.C.M.
Mbona hatuna hayo matawi huku USA esp. Houston? Ama ni njaa na kujipendekeza kumezidi? Inatia kichefuchefu kuona mtu anayekaa ughaibuni esp. UK & USA ambae tunategemea akili yake itakuwa imefunguka na kuelimika akiwa ndio supporter wa CCM ambayo imejaa ufisadi na uvundo!
Ama schedule za maboksi zimewaelemea huko UK? Lini mtaelimika?
MMESHAANZA KUJICHOKONOWA, MIDOMO INANUKA SHOMBO LA KAUZU KUISAFISHA HAMTAKI, AMA KWA SABABU HII....BONYEZA BASI MICHUZI
AMEEEEN, Mkuu!!Frederick Sumaye alisemaga "ukitaka biashara yako au mambo yakunyookee njoo ccm" .
Wengi wao kuwa UK ni kutokana na uongozi mbovu.Sioni sababu nyingine iliyowasukuma zaidi ya njaa, wakiami siku moja watateuliwa kuwa wakuu wa wilaya au kupewa zabuni serikalini na ukweli baadhi yao wanafanikiwa.
Well Kuna Tawi Houston ambapo walipeleka Mtoto wa Janguo kama mwakilishi wa CCM Houston kwenye Mkutano wa CCM
Web Site; CHAMA CHA MAPINDUZI -- MAREKANI
Kuna Helsinki; link Tawi La CCM Finland
nadhani hoja ina mantiki
Miaka michache ya hivi karibuni tumekuwa tukisikia ama kuona katika vyombo vya habari kuhusu watu wa huko U.K. kuendelea kufungua utitiri wa matawi ya C.C.M.
Mbona hatuna hayo matawi huku USA esp. Houston? Ama ni njaa na kujipendekeza kumezidi? Inatia kichefuchefu kuona mtu anayekaa ughaibuni esp. UK & USA ambae tunategemea akili yake itakuwa imefunguka na kuelimika akiwa ndio supporter wa CCM ambayo imejaa ufisadi na uvundo!
Ama schedule za maboksi zimewaelemea huko UK? Lini mtaelimika?
we kweli vuvuzela maana kazi ya vuvuzela ni kuwapigia wa2 wengine kelele!!!!!we inakuhusu nini?ccm ni ya wanachama wa ccm popote walipo!!!!uwe kijijini Geita au Birmingham.Fanya utafiti kwa viongozi wa ccm UK halafu mtaje huyo mwenye njaa na umtaje huyo anayejuana na mafisadi wa bongo...zaidi ya wao kuhangaika kuunda jumuiya za watanzania ili ziwe chachu ya kuhamasisha maendeleo.Tatizo lenu kila ambaye yupo ccm basi msaliti wa nchi sio hivyo wapo wenye malengo tofauti na yenye nia njema. wakati wengine wanatumia hela zao wenyewe kuhangaika na Utanzania mijitu mingine inaleta uvuvuzela