Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
Kuna Watanzania ndani ya CCM wanaamini kwamba ipo siku watakula teuzi, au kwamba watoto na ndugu zao watapata nafasi hizo na hivyo kufaidika kwa kodi za wananchi.
Hali hii inaonyesha ujinga mwingi katika chama, ambapo vijana wengi wa UVCCM wamerundikana na hawana hamu ya mabadiliko.
Watu wanajipendekeza tu, lakini ukitazama kwa makini, hakuna kinachofanyika chenye maana. Tunahitaji vijana wenye mawazo mbadala na ujasiri wa kuleta mabadiliko halisi kwa ajili ya jamii.