Watu naona wanauliza uliza siri ya mafanikio ya baadhi ya shule binafsi za sekondari hapa nchini, siri ziko 2 tu, kwanza sio siri maana hizi mbinu japo sikubaliani nazo ila zinafahamika na zinatumika sana kwa shule binafsi zenye majina makubwa ili waendelee kupiga pesa ndefu. (Hii ni biashara...
Kinachoniuma watoto hawafundishwi skills bali kukalili watu wenye skills wanaoleta changes ni average perfomers. Tuache mambo ya kukallii kids should learn more in practical. more of being creative and critical thinking
Sisi tulikuwa tunafeli lakini the way we think and we do things was different, tulijua kulima, tumefundishwa biashara na pia tulikua tunajua what was going on in the world
Todays kids wanapata one anaenda chuo anagraduate na hajui chochote zaidi ya iphone 11 shit
Swali kama hilo hupaswi kuuliza, Kwani wakati wenu mlihitimu wangapi? Kwani hujui watanzania wameongezeka kwa kuzaliana? Tulipata uhuru tupo milion 9 na sasa tupo zaidi ya million 60,
Watanzania tumerogwa; yaani tunafurahia matokeo feki huku elimu yetu ikizidi kushuka kila mwaka. Aliyeturoga kafa. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya matokeo ya darasa la nne (SFNA), kidato cha pili (FTNA) na kidato cha nne (CSEE) kutolewa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) hivi karibuni na...