Utitiri wa post zikihusisha CHADEMA kwenye utekaji ni kiashiria kuwa inaandaliwa kesi. Kaeni chonjo

Utitiri wa post zikihusisha CHADEMA kwenye utekaji ni kiashiria kuwa inaandaliwa kesi. Kaeni chonjo

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Mengi niliyoyaweka hapa jukwaani yamejjri na wala sijisifu kwa hilo, kwa sababu huwa nazama kwenye maombi yasitokee lakini kwa utawala huu nimegundua Mungu hajibu maombi yangu yote.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Ipo namna hii;
  1. Idadi ya walionyakuliwa na wasiyojulikana inazidi kuongezeka, pia orodha ya waliopo deathrow inazidi kuongezeka
  2. Kuna watu wamewaweka mitandaoni spin doctors kuanzisha pambio jipya la kuihusisha CHADEMA hususan baadhi ya viongozi na huu utekaji na mauaji.
  3. Lengo kubwa ni kufungua kesi za kubumba za mauaji haya yanayoendelea.
  4. Kumbukeni DCI ni nani vile?
  5. Fuatilieni mijadala kuanzia humu JF na mitandao ya kijamii kuhusu vijana waliojazwa huko kuspin kuwa CHADEMA ni wahusika wakuu.
Kaeni chonjo
Ukimya wenu utawasulubu
Hamasisheni wananchi waanze kujilinda kwa kutumia nguvu ya umma.

Muombeni Mungu maana baya lipo mlangoni na mnaweza kushinda.

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
 
vyama vyote kipindi cha uchaguzi kunakua na kafala za kutosha na mivutano kila mtu anataka cheo
 
Wsmeanza na Boniface Jacob.

Polisi wanafanya uzombi sana sana
 
Back
Top Bottom