Wanabodi kama kichwa cha habari kinavojieleza Badarini na Mipakani kuna taasisi nyingi zinazohusika katika ukaguzi wa mizigo matokeo yake ni usumbufu na kero kwa wanaoagiza mali toka nje.
Taasisi hizo ni TBS, TFDA, Mionzi, Fair Trade, Afya,Chakula, Mkemia, Mbolea, Kilimo NK.
Kila Taasisi inajiona bora kuliko nyingine na wanatoza pesa nyingi usumbufu mwingi kila mtu anataka akague kontena moja matokeo yake wanachelewesha kutoa mizigo ya watu.
Nini cha kufanya ? Taasisi moja tu iruhusiwe kukagau mizigo nayo ni TRA. Hawa wengine wote wajumuishwe TRA ili kama mzigo ni dawa basi akakague mtaalamu wa dawa lakini awe ni TRA kama sukari akakague mtu wa chakula tokea hapo hapo TRA ,NK.
Tuangalie nchi za wenzetu hao wote wanakuwa chini ya commissioner wa forodha wa nchi (TRA) hii itakuwa rahisi hata katika utendaji badala kila taasisi kungángánia kukagua mizigo !
Mbona miaka ya nyuma huo utaratibu haukuwepo na maisha yaliendelea vizuri tuu?