LGE2024 Utitiri wa Wafuasi na Wananchi kwenye Mikutano ya CHADEMA inatoa ujumbe gani kwa CCM?

LGE2024 Utitiri wa Wafuasi na Wananchi kwenye Mikutano ya CHADEMA inatoa ujumbe gani kwa CCM?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Kila mtu anajua kinachoendelea hapa nchini ikiwa ni jitihada za Serikali na CCM kuhakikisha Chadema hawafanikiwi.

Jana ktk Mkutano wa Nyamongo Tarime Uwanja wa Umma umefungwa na kulindwa na askari wenye silaha kwa lengo la kuzuia Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu asidanye mikutano.

Hata hivyo umati wa watu ni mkubwa sana kupita kiasi.

Tundu Lissu aliwambia mnazuia Uwanja lakini hamuwezi kuzia Watu.

Amewapiga madongo kwa kudai kwamba Waziri Mkuu Msaidizi alianza Mkutano kwa kubeba wananchi Mkoa mzina ili kufikisha Idadi kama yake Kwenye kijiji


View: https://youtu.be/3kYpeM5PVkE?si=8sZ_XKaZe9JKPEBO

Amesema wao ni watu wa ahaki na watu wanafata Kusikiliza wapigania Haki na sio Uwanja. Ndio maana watu wanajaaa.
 
Back
Top Bottom