Uto kumtambulisha Prince Dube, Tshabalala na Jopo la makocha wa Ufaransa

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Mnaombwa wote wana utopolo msikose jumapili kutakuwa na suprise kubwa sana anashuka

prince Dube,

Siphiwe Tshabalala legendary wa south africa

na jopo la makocha kutoka team ya Auxerre ya ufaransa

Wote hao wameomba kujiunga na team hiyo baada ya kufurahishwa na ujio wa msemaji mpya ambaye anaaminika ndiye aliisaidia simba kuifikisha robo fanali mara mbili Africa ndani ya miaka 3

msemaji huyo mpya anaaminika ndiye sababu kubwa iliyosababisha viwango vikubwa vya wachezaji kama Luis na chama na alisaidia sana klabu kupata pesa nyingi hali iliyosababisha Team hiyo yake ya zamani kulipa mishahara mizuri na kwa wakati

Kuhusu makocha watakuja kama wasaidizi wa Mtunisia ambaye naye yuko hatihati kuikimbia team kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa maandalizi

 
Huyo msemaji huwa amefunga magoli mangapi?
 
Naona unaota Ndoto.Ukishituka kutoka usingizini utajiona ulivyo mjinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…