COTANGENT
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 444
- 243
Mbali na gharama za TRA(Import duty,Excise duty & VAT), ningependa kufahamu gharama zingine ni zipi pamoja na viwango vyake?
Ninazofahamu mimi ni zifuatazo hapo chini, ila gharama(figure) zake sizifahamu, ningependa kuzijua kabla ya kuonana na hawa jamaa wa Clearing and forwarding ili wasije wakanipiga bei za ajabu, c mnajua tena mambo ya mjini!
-Agent fee, Port Charge, Car registration fee, road license fee, Insurance, and plate Number. Kama kuna gharama zingine naomba kufahamishwa pamoja na figure zake.
Gari yenyewe ni Toyota Voltz, Year-2003, Engine CC-1800, Model ZZE-137.
Ningeomba hizo taarifa wakuu kabla sijaanza mchakato! Nawasilisha.