Utoaji GARI KWA KUTUMIA EXEMPTION....TRA.....Bado huu UTARATIBU?

Utoaji GARI KWA KUTUMIA EXEMPTION....TRA.....Bado huu UTARATIBU?

iPhone 5S

Senior Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
158
Reaction score
102
Wapendwa wana JF,

1. Napenda kufahamu je ule utaratibu wa Mtumishi wa Serikali kuwa exempted kulipa kodi anapoingiza gari nchini bado upo au kwa sasa umefutwa?

2. Naomba kufahamishwa: Ikiwa nimeagiza gari kutoka nje lets say UK au Japan, na hiyo gari ina miaka zaidi ya kumi (najua ikiwa zaidi ya miaka 10 exemption ilikuwa haitahusika coz will be considered as chakavu), je gharama ya uchakavu kwa huwa wana-charge asilimia ngapi ya gharama za hilo gari.....?

3. Mwisho ni kuwa nataka kuagiza gari aina ya Nissan NIVARA....ya 2003 kutoka UK, mwenye ushauri kuhusu uzuri au matatizo ya gari ya aina hiyo naomba anaiambie...hapa jamvini...kwa faida yangu na members wengine pia.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.

Ahsanteni.
 
Mkuu namba 1
Utaratibu bado upo gari inatakiwa iwe na miaka 7 au chini, CC zisizidi elfu 3000, hivyo unatakiwa upate approval kutoka ofisi yako unayofanyia kazi kwa ajili ya ku apply t.v na exemption unayopata ni import duty na excise duty ya CC, wewe utalipa Vat na registration

Namba 2
 
Asante sana kiongozi
 
Back
Top Bottom