PJ JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 297 Reaction score 32 Oct 1, 2010 #1 kipindi hiki cha uchaguzi ni wakati wa mavun kwa wanahabari ili wawaandike vizuri mafisadi lakini hata hivyo wananchi wameshtukia mafisadi na wanataka kuchukua nchi yao Long live wapambanaji
kipindi hiki cha uchaguzi ni wakati wa mavun kwa wanahabari ili wawaandike vizuri mafisadi lakini hata hivyo wananchi wameshtukia mafisadi na wanataka kuchukua nchi yao Long live wapambanaji