tuzo kwa washindi wa michezo ya netball, riadha, na basketball zimeshatolewa na hivi sasa wanapumzika kwa kujipatia mlo. Ila kilichonivutia ni kumwona mpiganaji Hamis athman yule mpigapicha wa habari leo iliyepata ulemavu baada ya kupata ajali ya gari akiwa ni mmoja wa waliokabidhi tuzo. Inapendeza kumwona akiwa katika siha nzuri, licha ya tatizo lake.