Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe Juma Chikoka amezindua utoaji wa Huduma za Afya kwenye Kituo kipya cha Afya cha Kata ya Makojo (vijiji vya Chimati, Chitare na Makojo)
Jimbo la Musoma Vijijini linaendelea kuboresha na kuimarisha utoaji wa Huduma za Afya ndani ya Kata zake 21 zenye jumla ya vijiji 68.
Huduma za Afya Jimboni mwetu zinatolewa kwenye:
(i) Hospital ya Halmashauri yenye vifaa vya kisasa vya matibabu ikiwemo complete radiology unit (mobile digital X-ray & static X-ray), oxygen-production plant, na two ultrasound machines!
(ii) Vituo 6 vya Afya vikiwa na vifaatiba vya kisasa. Vituo hivyo ni vya: Bugwema, Kiriba, Kisiwa cha Rukuba, Makojo, Mugango na Murangi
(iii) Zahanati 26 za Serikali na 4 za Binafsi
Zahanati 17 mpya zinajengwa vijijini mwetu kwa nguvu za wananchi na nyingine zimeanza kupokea misaada ya kifedha kutoka Serikalini.
(iv) Ambulances 7: Magari ya Wagonjwa 7 likiwemo gari kubwa la kisasa kutoka Japan (lenye vifaa vya upasuaji) ambalo liko kwenye Kituo cha Afya cha Murangi
Ambulances 7 ziko:
(i) Kwikonero (Hospitali ya Halmashauri)
(ii) Masinono (Kata ya Bugwema)
(iii) Kurugee (Kata ya Bukumi)
(iv) Murangi (Kata ya Murangi)
(v) Rusoli (Kata ya Rusoli)
(vi) Nyang'oma (Kata ya Mugango)
(vii) Nyasurura (Kata ya Ifulifu)
Mbunge wa Jimbo, Prof Sospeter Muhongo alileta Ambulances tano (5) kati ya hizo saba (7) zilizoko Jimboni mwetu.
CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa ina shukrani tele kutoka Kata ya Makojo, tafadhali isikilize!
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
P. O. Box 6
Musoma
Tarehe:
Ijumaa, 7 Machi 2025