Utoaji wa MIMBA kwa bongo movie ni jambo la kawaida: Mainda

Utoaji wa MIMBA kwa bongo movie ni jambo la kawaida: Mainda

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
1,450
Reaction score
600
mainda asema utoaji wa mimba kwa bongo movie ni jambo la kawaida






UTOAJI wa mimba kwa wasanii wa bongo movie sasa ni kama mtindo fasheni kwani usipofanya hivyo unaweza kuonekana mshamba wa mji.....



Msanii wa tasnia hiyo, Mainda, ametoa ushahidi wake kuwa aliwahi kumshudia mmoja wa mastaa wa tasnia hiyo akitoa mimba tena nyumbani kwake.......

Msanii huyo ameieleza Gumzo kuwa wapo wasanii wengi wa tasnia hiyo ambao wanapata mimba lakini walio wengi wanazitoa.

chanzo:mainda asema utoaji wa mimba kwa bongo movie ni jambo la kawaida - BongoClan

 
bongo movie ndio nn?
movie Hollywood au Bollywood. haobbongo maigizo kaka. limbukeni tu buuushit.
 
Ma yeye katoa mimba ngapi?
Marehemu Maksi, Ray, Marehemu Kanumba, n.k.

Hawa wasanii sijui wanapata wapi ujasiri wa kuwasema wenzeao. Juzi Sinta nae anawataja wenzie kua ni Malaya.

Yaani nahisi kama wanatumia style ya kama mtu uko kwenye kundi la wezi, ikitokea ukawachomea wezi wenzako basi wewe unaweza ukaonekana sio mwizi.
 
Back
Top Bottom